1 Sehemu A: Uhudhuriaji na Ushiriki
Chagua alama 1 hadi 5 kwa kila kigezo.
1. Huhudhuria mikutano ya Bodi kwa wakati.
HafifuBora Sana
2. Hujiandaa vizuri kabla ya mikutano.
HafifuBora Sana
3. Hushiriki kikamilifu katika mijadala.
HafifuBora Sana
4. Hutoa mawazo yenye kujenga.
HafifuBora Sana
5. Huchangia kufanya maamuzi ya Bodi.
HafifuBora Sana
Tafadhali chagua alama kwa vigezo vyote hapo juu.
2 Sehemu B: Maadili na Utawala Bora
Chagua alama 1 hadi 5 kwa kila kigezo.
1. Huzingatia usiri wa taarifa za Bodi.
HafifuBora Sana
2. Huepuka mgongano wa maslahi.
HafifuBora Sana
3. Hufuata Katiba na Kanuni za TWCC.
HafifuBora Sana
4. Hutenda kwa uadilifu.
HafifuBora Sana
5. Huwajibika katika majukumu yake.
HafifuBora Sana
Tafadhali chagua alama kwa vigezo vyote hapo juu.
3 Sehemu C: Ushirikiano
Chagua alama 1 hadi 5 kwa kila kigezo.
1. Hushirikiana vizuri na wajumbe wengine.
HafifuBora Sana
2. Huheshimu maoni ya wengine.
HafifuBora Sana
3. Hujenga mshikamano ndani ya Bodi.
HafifuBora Sana
4. Hutatua tofauti kwa njia ya kitaalamu.
HafifuBora Sana
5. Huwasiliana vizuri na wajumbe wengine.
HafifuBora Sana
Tafadhali chagua alama kwa vigezo vyote hapo juu.
4 Sehemu D: Mchango kwa TWCC
Chagua alama 1 hadi 5 kwa kila kigezo.
1. Huchangia kupanga mikakati.
HafifuBora Sana
2. Hufuatilia utekelezaji wa maamuzi.
HafifuBora Sana
3. Hushiriki katika maamuzi ya sera.
HafifuBora Sana
4. Huchangia maendeleo ya TWCC.
HafifuBora Sana
5. Huwakilisha wanachama vizuri.
HafifuBora Sana
Tafadhali chagua alama kwa vigezo vyote hapo juu.